img

RC Kigoma ataka kila shabiki atayeingia kuiona simba na yanga kesho avae barakoa

July 24, 2021

 

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye ameagiza kila Shabiki atakayeingia Uwanjani kutazama Mechi ya Simba vs Yanga Mkoani humo avae barakoa ili kujikinga na Janga la Ugonjwa (Covid-19) Corona.

Andengenye amesema ili kujikinga na ugonjwa huo ni vizuri Mashabiki wote watakaoingia Uwanja wa Lake Tanganyika kutazama Mechi ya Simba vs Yanga inayotarajiwa kuchezwa July 25,2021 wachukue tahadhari ikiwemo kuvaa Barakoa “bila barakoa hauingii uwanjani”

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *