img

Ndovu waliotembea mwendo wa kilomita 500 waamua kujipa lepe ya usingizi

June 11, 2021

Kundi la ndovu 15 ambao walisafiri mwendo wa kilomita 500 wameonekana wakilala katika msitu mmoja .Katika miezi ya hivi karibuni ndovu wa asili ya kiashia wameonekana wakitembea vijijini na mijini kusini magharibi mwa China , na kuwavutia watu wengi . Haijajulikana kwanini ndovu hao waliamua kuondoka makazi yao .Mamlaka zinafuatilia safari ya wanyama hao

Source link

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *