img

Rais Samia amteua CEO NMB kuchakata Haki za Wanawake Kiuchumi

June 10, 2021

Na Mwaandishi Wetu, Mtanzania Digital RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, kuwa mmoja wa wanawake watakaoshiriki mchakato wa kujadili na kupatia ufumbuzi Haki za Wanawake Kiuchumi. Rais Samia ameyasema hayo juzi jijini, wakati akihutubia Mkutano wa Wanawake uliofanyika kwenye Ukumbi wa Jakaya,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *