img

Serikali iko imara, Watanzania endeleeni kuiamini- Majaliwa

April 20, 2021

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Waziri Muu Kassim Majaliwa amesema Serikali ipo imara na miradi yote ya kimkakati inaendelea kujengwa, hivyo Watanzania waendelee kuwa na imani nayo. Amesema Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan ipo makini na inaendelea kuwatumikia Watanzania. ”Tuendelee kuchapa kazi”. Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Jumanne, Aprili 20, 2021) baada,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *