img

Mkurugezi wa Vunja bei group afunguka baada ya kushinda tenda ya Simba

April 20, 2021

“Mkataba huu ni mkataba wa kwanza mkubwa kwetu kama Kampuni, tunashukuru sana Simba SC kwa kutuamini sisi kama vijana wadogo. kulikuwa na makampuni takibani 11 lakini hatimae sisi tukashinda” – Fredy Vunja bei – Mkurugezi wa Vunja bei group

 

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *