img

Kocha mpya Yanga ajifunga mwaka mmoja na nusu

April 20, 2021

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Klabu ya Yanga leo imemtangaza Mohamed Nasreddin Al-Nabi kuwa kocha wao mpya na kuingianae kandarasi ya mwaka mmoja na nusu. Tukio hilo limefanyika makao makuu ya klabu hiyo yaliyopo mtaa wa Jangwani na kuongozwa na Kaimu Katibu Mkuu wa klabu hiyo Haji Mfikirwa.,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *