img

Fury, AJ kukutana Saudi Arabia

April 20, 2021

Riyad, Saudi Arabia Lile pambano la uzito wa juu lililokuwa likisubiriwa kwa hamu kati ya Tyson Fury na Anthony Joshua ‘AJ’ litafanyika Saudi Arabia. Hiyo ni kwa mujibu wa promota maarufu wa mchezo wa masumbwi, Bob Arum, akisema siku itakuwa ni Julai 24, mwaka huu. Endapo siku hiyo itashindikana, basi wawili hao watavaana wiki moja,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *