img

ESL yapingwa, Perez aitetea

April 20, 2021

Madrid, Hispania Rais wa Real Madrid, Florentino Perez, amejitokeza kuisifia Ligi Kuu ya Ulaya (ESL), michuano mipya inayotarajiwa kuanza siku za usoni. Madrid ni sehemu ya klabu 12 za soka zilizokubali kushiriki Ligi hiyo inayotajwa kuwa na lengo la kuiua Ligi ya Mabingwa Ulaya. Huku Shirikisho la Soka la Ulaya (ÚEFA) likiungana na wakosoaji wengine,,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *