img

CEO wa Vunja Bei atoa shukrani kwa uongozi wa Simba na kwa Wanasimba

April 20, 2021

“Nitoe shukrani kwa uongozi wa Simba na kwa Wanasimba. Naamini wamerudisha tumaini jipya kwa vijana wengi. Tunaenda kutengeneza vitu vingi kama jezi, t shirt, cover la simu, miwani, saa za Simba, kofia, soksi, viatu, mabegi na vitu vingi.”- CEO wa Vunja Bei, Fred. 
 

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *