img

ASW HAABUL KAHFI ISLAMIC CETRE INAWAALIKA WATU WOTE KUHUDHURIA FAINALI YA MASHINDANO YA 6 YA KUHIFADHI QUR’AN TUKUFU JUMAMOSI APRILI 24

April 20, 2021

 ASW HAAABUL KAHFI 

ISLAMIC CENTRE
Inawaalika watu wote kuhudhuria Fainali ya mashindano ya  6 ya kuhifadhi Qur’an Tukufu yatakayofanyika siku ya jumamosi tarehe 24.4.2021  katika viwanja vya Argentina Yombo Vituka Temeke kuanzia saa 1 asubuhi saa 7 mchana.
Mgeni rasmi atakuwa waziri wa nchi ofisi ya Rais Muungano na Mazingira Mhe. Sulemani Said Jafo.
Mshindi kujinyakulia zawadi nono.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *