img

Waziri Mkuu amsimamisha kazi Mkurugenzi wa Fedha DART

April 19, 2021

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Fedha wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), Suzana Steven Chaula baada ya kutoridhishwa na utendaji wake. Akizungumzia kuhusu Mtendaji Mkuu wa wakala huo, Mhandisi Ronald Rwakatare, Waziri Mkuu amesema suala hilo atalikabidhi kwa Mamlaka ya uteuzi. Waziri Mkuu amechukua hatua,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *