img

Watu 11 wapoteza maisha Misri

April 19, 2021

-Cairo Wizara ya afya nchini Misri imetangaza vifo vya watu 11 na wengine 98 kujeruhiwa kufuatiwa ajali ya treni iliyotokea siku ya jumapili Aprili 18, 2021. Katika taarifa hiyo iliyotolewa na Wizara ya Afya inasema uchunguzi juu ya chanzo cha ajali hiyo bado unaendelea huku. Hata hivyo treni hiyo  ilikuwa ikifanya safari zake kutokea Mji,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *