img

Wanaojitokeza kupata chanjo ya corona wapungua Marekani

April 19, 2021

Mamlaka za #Marekani zimesema wanaojitokeza kupata Chanjo ya COVID 19 wamepungua sababu ikitajwa kuwa wengi wanasubiri kuona madhara ya chanjo hizo

Kaunti ya Mercer iliyoko Jimbo la Ohio imetolewa mfano kuwa mwezi Januari watu zaidi ya 500 walipokea chanjo ndani ya siku moja, idadi hiyo imeshuka sana ambapo watu 264 wamepata chanjo mwanzo wa mwezi April

Hadi sasa ni 27% ya wakazi wa Kaunti ya Mercer walioanza kupata chanjo, tofauti na awali sasa hivi chanjo inajumuisha watu wenye umri kuanzia miaka 16

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *