img

Wanajeshi wauawa Chad

April 19, 2021

-N’Djamena Maafisa wa jeshi wa ngazi za juu nchini Chad wameripotiwa kuuawa katika mapigano kati ya wanajeshi na kundi la waasi la Front for Change and Concord in Chad kaskazini mwa jimbo la Kanem nchini humo. Mapigano hayo yameibuka kufuatiwa matokeo ya uchaguzi mkuu wa urais nchini kuonyesha Rais Idriss Deby kuelekea kushinda muhula wake,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *