img

TRA yaanza kuelimisha mfanyabiashara mmoja mmoja Kilimanjaro

April 19, 2021

Na Safina Sarwatt,Moshi Mamkala ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza zoezi la kuwaelimisha wafanyabiashara mmoja mmoja mkoani Kilimanjaro lengo likiwa kulipa kodi kwa hiyari na kuongeza mapato ya Serikali. Akizungumza na waandishi Habari Mjini Moshi Kaimu Meneja Elimu kwa mlipa kodi kutoka Makao Makuu, Rose Mahendeka amesema Elimu hiyo imeanza Dar es salaam na kwamba tayari,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *