img

Rais Samia azungumza na mwakilishi mkazi wa Benki ya Dunia hapa nchini Bi. Mara Warwick Ikulu Chamwino mkoani Dodoma

April 19, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Bi. Mara Warwick alipokutana naye Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Jumatatu Aprili 19, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkaribisha Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Bi. Mara Warwick alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Jumatatu Aprili 19, 2021.

 

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *