img

Nyani, tumbili waharibu mazao Rombo

April 19, 2021

Na Upendo Mosha,Rombo Makundi makubwa ya Nyani, Ngedere na Tumbili kutoka katika hifadhi ya mlima Kilimanjaro na hifadhi jirani ya nchini Kenya yamevamia mashamba na makazi ya watu wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro na kuharibu mazao na kula wanyama wafugwao. Akiwasilisha kero hiyo Mbunge wa Jimbo la Rombo, Prof. Adolf Mkenda wakati wa ziara ya kikazi,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *