img

Mufindi yakabidhi gari la kubebea wagonjwa

April 19, 2021

Na Raymond Minja, Iringa Mkurugenzi wa Halimashauri ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa, Netho Ndilito, amemkabidhi gari ya kisasa aina ya Landcruiser mpya Mwenyekiti wa halmashauri hiyo Festo Mgina ili iweze kusaidia kutoa huduma katika vituo vya afya na hospitali zilizoko katika halmashauri hiyo . Gari hiyo mpya iliyonunuliwa na serekali kwa Sh milioni 170,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *