img

Mourinho afutwa kazi Tottenham

April 19, 2021

London, Uingereza Kocha wa Tottenham Jose Mourinho amepigwa kalamu baada ya kuisimamia timu hiyo kwa miezi 17 pekee. Raia huyo wa Ureno alichukua mahala pa Mauricio Pochettino kama mkufunzi wa Spurs mwezi Novemba 2019 na kuiongoza klabu hiyo kuwa katika nafasi ya sita katika ligi ya Premia msimu uliopita. Kwa sasa Spurs wako katika nafasi,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *