img

Majaliwa: Tutaendelea kuwapa ushirikiano wawekezaji

April 19, 2021

Na Mwandishi Wetu, Pwani Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea kiwanda kuunganisha magari cha GFA kilichoko Kibaha mkoani Pwani na ametumia fursa hiyo kuwahakikishia wawekezaji wote kwamba Serikali itaendelea kuwapa ushirikiano. ”Nimeridhishwa na kufarijika kuona hali ya kazi inayofanyika kiwandani hapa, niwahakikishie kwamba Serikali itaendelea kuwaunga mkono katika uwekezaji wenu. Mheshimiwa Rais aliona kazi yenu kupitia,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *