img

Lori la mafuta lalipuka Nigeria

April 19, 2021

-Nigeria Katibu mtendaji wa shirikia la kusimamia matukio ya dharura Jimbo la Benue Nchini Nigeria, Emmanuel Shior ametoa ripoti ya vifo vya watu 7 na uhalibifu wa nyumba 50 vilivyosababishwa na mlipuko wa lori la mafuta nchini humo. Katibu Shior amesema ajali zinazotokana na milipuko ya magari ya mafuta ni kawaida nchini Nigeria ikifuatiwa na,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *