img

Kwa nini idadi ya wagonjwa wa corona imepaa kutoka 20,000 mpaka 150,00 kwa siku

April 19, 2021

Idadi ya wagonjwa wa corona nchini India imepaa kwa kasi katika wiki za hivi karibuni. Nchi hiyo kwa sasa inaripoti wagonjwa zaidi ya 150,000 kwa siku. Mwezi Januari na Februari walikuwa wakiripoti wagonjwa 20,000 tu. Je, nini kimetokea mpaka India kuingia katika janga wanalokabiliana nalo sasa?

Source link

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *