img

GGML yaanza kutekeleza mpango wa uchimbaji mwaka 2021

April 19, 2021

Na Mwandishi wetu, Geita Kampuni ya uchimbaji dhahabu mkoani Geita (GGML) imeanza kuchimbaji wa wazi na wa chini kwa chini katika mgodi wa Nyamulilima ikiwa ni siku chache baada ya Serikali kuidhinisha mpango huo kwa mwaka 2021. Hatua imekuja baada ya GGML kupokea ruhusa ya mpango wa uchimbaji madini kutoka kwa Mkaguzi Mkuu wa Migodi,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *