img

DR Congo kuanza kutoa chanjo ya Corona

April 19, 2021

-Kinshasa Mamlaka za afya nchini DR Congo zimetangaza kuanza kampeni ya chanjo ya dhidi ya mapamabano ya ugonjwa wa Covid 19 nchini humo kuanzia leo tarehe 19 Aprili kwa kutumia chanjo ya Oxford / AstraZeneca. Zoezi la chanjo litakuwa la hiari na watakaopewa kipau mbele ni wafanyikazi wa huduma za afya, watu walio katika mazingira,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *