img

Benkiya NMB yatoa misaada ya milioni 17.3 kwa shule nne Mufindi

April 19, 2021

Na MwandishiWetu, Mufindi Benkiya NMB imetoa misaada ya vifaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 17.3 kusaidia kuboresha upatikanaji wa huduma za jamii katika Wilayani Mufindi. Vifaa vilivyotolewa ni pamoja na madawati 50 kwaajili ya shule ya Msingi Upendo, Viti 12 na meza 12 kwaajili ya shule ya Isupilo na Mabati 200 kwaajili,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *