img

WAZIRI KILIMO AWATOA HOFU WAWEKAZAJI WA NDANI

April 18, 2021

Na Upendo Mosha,Arusha WAZIRI wa kilimo,Prof Adolf Mkenda,amewahakikishia wawekezaji wa ndani wa viwanda vya kuzalisha viuatilifu vya mazao na mifugo kuwa serikali haitanunua biadhaa hizo nje ya nchi na badala yake watanunua vya ndani ya nchini. Prof Mkenda aliyasema hayo jana wakati akizindua kiwanda cha kuzalisha viuatilifu cha kampuni ya kimataifa ya usambazaji pembejeo nchini,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *