img

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi ajumuika na waumini wa dini ya Kiislam katika swala ya Isha na Taraweh iliyofanyika Masjid Magh-Fira Mlandege

April 18, 2021

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia Dua ikisomwa na Imamu Mkuu wa Masjid Magh-Fira Mlandege Zanzibar Sheikh.Ali Hemed Jabiri (kulia kwa Rais) na Ust. Kombo Bain a (kushoto kwa Rais) Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume, wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa Ibada ya Swala ya Tarawekh, iliofanyika katika Masjid Magh-Fira Mlandege Jijini Zanzibar jana usiku 17-4-2021.(Picha na Ikulu).

WAUMINI wa Kiislam wakiitikia Dua baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Tarawekh, ikisomwa na Imamu Mkuu wa Masjid Magh-Fira Mlandege Zanzibar Sheikh, Ali Hemed Jabir (Maalim Aliyani) hayupo pichani baada ya kumalizika kwa Swala ya Tarawekh iliofanyika jana usiku 17-4-2021 katika Masjid Magh –Fira Mlandege Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Waumini wa Kiislam wa Masjid Magh-Fira Mlandege Jijini Zanzibar baada ya kumalizika kwa Ibada ya Swala ya Tarawekh, iliofanyika katika Masjid hiyo jana usiku.(Picha na Ikulu)

 

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *