img

OSHA yaagizwa kufanya tathmini ya maeneo ya kazi yenye ajali,magonjwa

April 18, 2021

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu, Kazi,Vijana,Ajira na wenye Ulemavu, Jenista Mhagama ameagiza Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) kufanya tathmini ya maeneo ya kazi yanayoongoza kwa matukio ya ajali na magonjwa pamoja na kubainisha visababishi vyake ili kuwezesha uandaaji wa mkakati wa kudhibiti,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *