img

Mme wa Malkia Elizabeth II azikwa

April 18, 2021

Prince Philip, mme wa Malkia Elizabeth wa Pili, aliyepoteza maisha mnamo Aprili 9, amezikwa.

Mazishi ya Prince Philip, Duke wa Edinburgh mwenye umri wa miaka 99, yamefanywa katika sherehe ya kidini huko St George’s Chapel.

Watu 30, wakiwemo wanafamilia wa karibu, wamehudhuria mazishi hayo.

Malkia aliketi peke yake wakati wa mazishi, kama inavyotakiwa katika tahadhari dhidi ya corona.

 

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *