img

Kamati yashauri bunge kufanya marekebisho ya sheria ya ndoa…

April 18, 2021

Na Ramadhan Hassan,Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria imesema umefika wakati muafaka wa Bunge kufanya marekebisho ya sheria ya ndoa ya mwaka 1971 hususan vifungu  vya  13 na 17  kwa kuwa vimepitwa  na wakati  kwani inatoa idhini ya watoto wa kike kuolewa wakiwa chini ya umri wa miaka 18. Akizungumza Jumamosi,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *