img

Wekezeni katika tafiti bora za mbolea- Mkenda

April 17, 2021

Upendo Mosha,Babati SERIKALIimeagiza wataalamu wa Kilimo kutoka Katika taasisi mbalimbali za utafiti kuwekeza na kutafiti aina bora za mbolea na kutoa utaalamu huo kwa kiwanda Cha mbole Cha Minjingu hatua ambayo itasaidia nchi kuacha kuagiza bidhaa hizo nje. Agizo hilo lilitolewa na waziri wa Kilimo, Prof Adolf Mkenda wakati wa ziara ya kutembelea kiwanda hicho,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *