img

Majaliwa: Serikali itaendelea kutatua changamoto za vijana

April 17, 2021

Ramadhan Hassan,Dodoma WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Kassim amezindua Ajenda ya Kitaifa ya kuwekeza katika Afya na maendeleo kwa Vijana balehe kwa Mwaka 2021/2022 hadi 24/25 huku akisema Serikali itaendelea kuhakikisha inatatua changamoto zinazolikabili kundi hilo ikiwemo magonjwa ya kuambukiza,ukatili wa kijinsia , ndoa za utotoni na mimba mashuleni ili,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *