img

Watendaji jiepusheni na rushwa- Majaliwa

April 16, 2021

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watendaji wajiepushe na vitendo vya kuomba rushwa na urasimu usiokuwa wa lazima katika kuwahudumia wawekezaji ili kujenga imani baina ya sekta binafsi na sekta ya umma Pia, Waziri Mkuu amezitaka Wizara na taasisi zote zinazohudumia wawekezaji kuhakikisha wanawezesha wawekezaji katika maeneo yao kwa kutoa huduma na taarifa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *