img

Walimu Kilolo waonywa uhusiano wa kimapenzi na Wanafunzi

April 16, 2021

Na Adili Mhina, Kilolo Walimu wilayani Kilolo wametakiwa kuacha mara moja tabia ya kujihususha kimapenzi na wanafunzi kwani kufanya hivyo ni kukiuka maadili, kudhalilisha kazi ya ualimu, kuhatarisha ajira na kukatisha ndoto za wanafunzi. Hayo yamesemwa jana na Mkurugenzi wa Idara ya Ajira, Maadili na Maendeleo ya Walimu kutoka Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC),,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *