img

TAWA,WCS wakubaliana usimamizi wa pamoja miradi ya mfumo wa ikolojia

April 16, 2021

Na Victor Makinda, Morogoro Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) na Shirika lisilo la kiserikali la Uhifadhi wa Wanyamapori  “Wildlife Conservation Society” (WCS)  wamesaini hati ya makubaliano yenye lengo la kuhakikisha kunakuwa na usimamizi wa pamoja wa miradi mbalimbali katika mfumo wa ikolojia Ruaha, Katavi ambao unajumuisha mapori ya ya akiba ya Rungwa, Muhesi,Kizigo,,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *