img

Mwili wa Mama mzazi wa IGP Sirro wazikwa kijijini kwao Butiama

April 16, 2021

 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amewataka wananchi hususani wazazi kuendelea kuimarisha malezi ya familia hasa katika suala la kuwapatia watoto elimu ya darasani itakayosaidia kuwajengea maarifa.

IGP Sirro amesema hayo kijijini kwao Muliaza wilaya ya Butiama mkoani Mara wakati wa ibada ya mazishi ya Mama yake Mzazi Bi. Monica Tongori Nyabyamari aliyefariki Dunia Aprili 10,2021 katika hospitali ya taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *