img

Lydia Onesmo kuzindua lipo jibu

April 16, 2021

Na Christopher Msekena, Dar es Salaam Mrembo anayekuja kwa kasi kwenye muziki wa Injili nchini, Lydia Onesmo, anatarajia kufanya uzinduzi mkubwa wa albamu yake, Lipo Jibu. Akizungumza na www.mtanzania.co.tz Lydia amesema uzinduzi wa albamu hiyo utafanyika katika kanisa la Ukombozi kwa Nabii BG Malisa jijini Mwanza, Mei 5, 2021. “Mimi pamoja na Excellent Pictures tunawakaribisha,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *