img

Kolabo ya Scorpion Kings, Tresor ni noma!

April 16, 2021

Na Mwandishi Wetu Kundi la muziki kutoka Afrika Kusini, Scorpion Kings linaloundwa na wasanii, DJ Maphorisa na Kabza De Small, wametoa albamu ya nguvu iitwayo, ‘Rumble In The Jungle’ ambayo wamepiga kolabo na msanii mkali, Tresor. Ni albamu yenye nyimbo 14 za ukweli ambazo zina mahadhi ya Amapiano, ambayo tayari inapatikana kupitia platforms mbalimbali mitandaoni.,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *