img

Wafanyabiashara waonywa kuacha kutorosha mifugo nje…

April 15, 2021

Na Edward Kondela, Tanga Wafanyabiashara wa mifugo nchini wametakiwa kuepuka kusafirisha mifugo yao kwenda nje ya nchi bila kufuata utaratibu kwa kuwa serikali itakosa mapato kupitia rasilimali za nchi na pia ni kosa kisheria. Akizungumza jana (14.04.2021) wakati alipotembelea eneo ambalo Wizara ya Mifugo na Uvuvi imepewa na Kijiji cha Horohoro Kijijini, kilichopo Wilaya ya,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *