img

Rayvanny afunguka mkanda mzima sakata lake na Harmonize na Paula

April 15, 2021

 ” Wakati ananikandamiza na kuchochea kwa kusema nimekosea sikuwa najua Chuki yake inatoka wapi . Lakini imekuja kunishangaza sana kuja kuona kumbe yeye ndio anafanya mabaya zaidi ya aliyokua nayakemea ” – Ryvanny .

Sina muda wa kutafuta Kiki, sihitaji Kiki ili kuuza muziki wangu kwasababu Napenda na Mashabiki . Bali lengo ni kumfunza kuwa alichokifanya si sahihi na anatakiwa kuomba radhi ” – @rayvanny

Inapofikia point mtu kaingia kwenye maisha yangu siwezi kukaa kimya mimi nitaingia kwenye haki – Rayvanny

“Kuna watu amewaumiza kwa alichokifanya, Familia ya Watu inatukanwa mitandaoni, nilitegemea aombe radhi lakini ndio kwanza akaitumia kama Kiki na kwenda kutoa wimbo ” – Rayvanny .

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *