img

Mwamko mdogo wakwamisha zoezi la urasimishaji Makazi

April 15, 2021

Na Mwandishi Wetu, Sumbawanga Wananchi wa Mtaa wa Sokolo, Kata ya Kizwite, Manispaa ya Sumbawanga Mkoani Rukwa wameonesha kukwamisha zoezi la urasimishaji wa makazi ya mtaa huo baada ya kushindwa kuchangia gharama ya upimaji ya Sh 120,000 kwa kila kiwanja kwa muda wa miaka minne tangu kuanza kwa zoezi hilo mwaka 2017. Akitoa taarifa ya,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *