img

Marekani yaahidi neema kwa Tanzania

April 15, 2021

Na Benny Mwaipaja, WFM, Dodoma Marekani imeahidi kushirikiana na Tanzania kukuza mitaji na kuvutia uwekezaji kutoka nchini humo ili kuchochea zaidi uchumi na huduma za kijamii hapa nchini. Ahadi hiyo imetolewa na Balozi wa Marekani hapa nchini, Dk. Don Wright, alipokutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb),,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *