img

Jafo kukutana na wawekezaji april 17 “nataka nijue wamekwama wapi”

April 15, 2021

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Selemani Jafo amewaita wawekezaji wote nchini Aprili 17, kwa ya kuwaisililiza wamekwama wapi lengo likiwa kuboresha utendaji kazi.

Waziri Jafo ameyasema hayo leo katika ofisi za NEMC jijini Dar es Salaam ambapo pia amepiga marufuku matumizi ya mifuko ya Plastiki katika maeneo mbalimbali ikiwemo masokoni.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *