img

Hope Studio wamtambulisha Harmo Music, kusaidia chipukizi

April 15, 2021

Na Christopher Msekena, Dar es Salaam Wadau wanaofanya vizuri kwenye tasnia ya muziki wa kizazi kipya nchini maarufu ‘Bongo Fleva’, Hope Studio wakishirikiana na Mgonja Entertainment, wamemtambulisha rasmi Msanii wao wa kwanza anayefahamika kama ‘Harmo Music. Akizungumza na www.mtanzania.co.tz kuhusu ujio wa msanii huyo, Mwenyekiti wa Studio hizo zilizopo Temeke Yombo Abiola jijini Dar es,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *