img

Baba Levo aitwa Central polisi baada ya kutoka BASATA

April 15, 2021

Baba levo baada ya kufika BASATA na kuzungumza nao na tayari ameshatoka ila hajaeleza walichozungumza ndani kwenye kikao alichoitiwa zaidi ya kusema ameambiwa anenda Police Central.

Pia amesema huko ndio yatazungumzwa mengi akishafika ila BASATA wao wataongea walichomuitia.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *