img

Alenga The Great aibuka kivingine na ‘Deception Love’

April 15, 2021

Houston, Marekani Mwongozaji na Mwigizaji wa Filamu nchini Marekani, Alenga Elize maarufu kama ‘Alenga The Great’, ameachia kazi nyingine inayofahamika kama ‘Deception Love au Udanganyifu wa Mapenzi’. Alenga ameiambia www.mtanzania.co.tz ameachia kazi hiyo mtandaoni siku chache zilizopita ikiwa ni baada ya kufanya vizuri kwa filamu yake iliyotangulia ya Love or Money aliyoitoa Mwaka jana na,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *