img

Sven baada ya kuiacha Simba SC ahamia FAR Rabat

January 9, 2021

Kocha wa zamani wa Simba SC Sven Vanderbroeck (41) rai wa Ubelgiji amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia club ya FAR Rabat ya Morocco.

Sven amesaini mkataba huo kurithi nafasi ya kocha Abderrahim Talib aliyefukuzwa kazi na clun hiyo.

Taarifa hizo zinakuja ikiwa ni siku mbili zimepita toka Sven atangaze kuondoka Simba SC kwa madai ya kuwa anaenda kuwa karibu na familia yake.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *