img

Simba yaendelea kutoa vichapo

January 8, 2021

Na Winfrida Mtoi, Dar es Salaam Timu ya Simba imeendelea kugawa dozi baada ya leo kushinda mechi yake ya kwanza ya Kombe la Mapinduzi kwa kuichapa Chipukizi mabao 3-1. Katika mchezo huo uliopigwa katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar, Chipukizi ilikuwa ya kwanza kupata bao dakika ya 36 kupitia Fakhi Mwalimu kabla ya Meddie Kagere kuisawazishia,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *