img

Simba yaangukia mikononi mwa Waarabu wa Misri na Vita Club

January 8, 2021

DROO ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika impengwa leo Januari 8 ambapo Simba imepangwa kundi A na vigogo Al Ahly ya Misri kwenye kusaka ushindi wa kutinga hatua ya robo fainali.

Makundi yamepangwa namna hii leo:-

Kund A

Al Ahly ya Misri

AS Vita ya Congo

Simba ya Tanzania

El Merreikh ya Sudan

Kund B

TP Mazembe ya Congo

Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini

Al Hilal ya Sudan

CR Beloulzadad ya Algeria

Kundi C

Wydad Athletic  ya  Morocco

Horoya ya Guinea

Atletico Petroleos ya Angola

Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini

Kundi D

E.S.T ya Tunisia

Zamalek ya Misri

MC Alger ya Algeria 

Teungueth FC ya Senegal

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *