img

Rais Magufuli aiomba China kuifutia madeni Tanzania

January 8, 2021

Na Faraja Masinde, Dar es Salaam Rais wa Tanzania, Dk. John Magufuli ameshuhudia Utilianaji saini wa mkataba wa ujenzi wa Reli ya kisasa (SGR) kutoka Mwanza hadi Isaka huku akiomba China kusamehe madeni yake kwa Tanzania likiwemo deni walilolibeba wakati wa ujenzi wa reli ya TAZARA. Akizungumza leo Ijumaa Januari 8, mara baada ya kushuhudia,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *